Mifugo Yetu
Shamba letu la mifugo ya halali lina aina tofauti za nyama.Tunatoa huduma za nyama safi na halali ya mbuzi, ng’ombe na kondoo. Pia tunatoa na huduma za kukuchinjia mifugo yako kwenye shamba letu bila malipo ya ziada, au unaweza kuchinja mwenyewe kama unapendelea. Wasiliana nasi ili uweze kuweka oda yako au tembelea shamba letu la mifugo kwa chaguzi mbalimbali za nyama bora za halali.